Uchambuzi wa Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine

Original price was: KShs330.00.Current price is: KShs297.00. exc. VAT

Uchambuzi wa Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine Author: Walubengo Mendi ISBN: 978 9966 345 92 9 Uchambuzi wa Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine ni kitabu kilichoandaliwa kukidhi mahitaji ya uchambuzi wa hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za upili.

Out of stock

Category:

Description

Uchambuzi wa Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine
Author: Walubengo Mendi
ISBN: 978 9966 345 92 9
Uchambuzi wa Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine ni kitabu kilichoandaliwa kukidhi mahitaji ya uchambuzi wa hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za upili. Kila hadithi katika mkusanyiko wa hadithi fupi Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine imechambuliwa kwa kuzingatia vigezo na dhana muhimu. Aidha, maelekezo muhimu kuhusu jinsi ya kujibu maswali ya mikondo mbalimbali yamejumuishwa.
Maelekezo yaliyotolewa katika kitabu hiki yanadhamiriwa kuchochea na kuongoza fikra za mwanafunzi ili apate kuelewa kwa undani hadithi husika.
Mwanafunzi, kwa hivyo, asijibane tu katika maelezo yaliyotolewa bali maelezo hayo yawe kama mwanga wa kumwezesha kuona mambo mengine yaliyofichama katika hadithi.

Additional information

Weight 0.2 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.