Your cart is currently empty!
Your cart is currently empty!
Pepo za Mizimu Mwandishi: Ali Attas ISBN: 978 9966 630 01 8 Upepo ulivuma kidogo, ukiliza sauti ngeni ya kusononeka. Juma mara alihisi kitu kinamvuta kama sumaku hadi mbuyuni. Matagaani, mbuyu huo haukuwa na jani hata moja. Ila ghafla jani moja lilizuka, likapeperuka na kuelea hewani kisha likadondokea chini ya miguu yake. na butaa, akalitumbulia…
Upepo ulivuma kidogo, ukiliza sauti ngeni ya kusononeka. Juma mara alihisi kitu kinamvuta kama sumaku hadi mbuyuni. Matagaani, mbuyu huo haukuwa na jani hata moja. Ila ghafla jani moja lilizuka, likapeperuka na kuelea hewani kisha likadondokea chini ya miguu yake.
na butaa, akalitumbulia macho jani hilo. Baada ya nukta mbili tatu, aliinama chini,
Jani lenyewe lilikuwa bichi. Aliamua kulinusa. Kufumba na kufumbua, jani lilinyanyuka mikononi mwake.
| Weight | 0.1 kg |
|---|
โ ๏ธ Important Notice: Annual Stocktake Closure
Please note that we will be closed for our annual stocktake from today, 26th November 2025, to Friday, 28th November 2025.
Any orders placed during this time will be processed starting Monday, 1st December 2025. Thank you for your patience!
Notifications