Baraka za Mama

Original price was: KShs545.00.Current price is: KShs491.00. exc. VAT

Baraka za Mama ISBN: 978 9966 63 180 0 Mwandishi: V. Tweyambe Hii ni riwaya ya kusisimua iliyowasilishwa kwa ubunifu wa hali ya juu. Aidha, imesheheni mafunzo muhimu kwa vijana.

Category:

Description

Baraka za Mama
ISBN: 978 9966 63 180 0
Mwandishi: V. Tweyambe
Baraka za Mama ni riwaya inayoangizia maisha ya Baraka kijana anayeibukia katika familia maskini. Baraka anafiwa na wazazi wake na kuachwa chini ya malezi ya ami yake, Baguma. Jambo hili halileti heri yoyote katika maisha yake. Jua la maisha hata hivyo halimsubiri. Baraka anapitia katika adha chungu nzima. Je atatamauka au atapigania maisha?
Hii ni riwaya ya kusisimua iliyowasilishwa kwa ubunifu wa hali ya juu. Aidha, imesheheni mafunzo muhimu kwa vijana.

Additional information

Weight 0.1 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.