Choko na Siafu

Original price was: KShs240.00.Current price is: KShs216.00. exc. VAT

Visa vya Kisasa ni mfululizo mpya wa vitabu vya hadithi. Mfululizo huu una hadithi za kuvutia. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi Vimeandikwa kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi Vinakuza stadi ya kusoma baada ya kutumia vitabu vya kiada Vinamsaidia mwanafunzi kujifunza msamiati unaopendekezwa katika mtaala wa kiumilisi Vitabu hivi vina shughuli za…

Description

Choko na Siafu

Choko anawasumbua watoto wengine shuleni.Siku moja wote wanapelekwa kucheza katika bustani.Hawataki kucheza na Choko.Anabaki peke yake.Je, ni mambo gani yatampata Choko?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.