+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Adili na Zawadi za Zani

Original price was: KSh240.00.Current price is: KSh216.00. exc. VAT

Visa vya Kisasa ni mfululizo mpya wa vitabu vya hadithi. Mfululizo huu una hadithi za kuvutia. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi Vimeandikwa kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi Vinakuza stadi ya kusoma baada ya kutumia vitabu vya kiada Vinamsaidia mwanafunzi kujifunza msamiati unaopendekezwa katika mtaala wa kiumilisi Vitabu hivi vina shughuli za…

Description

Adili na Zawadi za Zani

Ni siku ya kusherehekea kuzaliwa kwa Zani. Wazazi wake wamenunua Zawadi.Adili anadhani kuwa zawadi zote ni za Zani.Anaingiwa na wivu.Je, atakubali Zani apate zawadi hizo?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X