Funzo la Msituni

Original price was: KShs336.40.Current price is: KShs302.76. inc. VAT

Funzo la Msituni ISBN : 9789966638748

Description

Baba yao Eli na Asha anasafiri siku moja. Eli na Asha wanabaki nyumbani peke yao.

Wanaona kuwa hiyo ni nafasi nzuri ya kwenda msituni kujionea mazingira.

Wanaondoka nyumbani bila ruhusa.

Wanabeba simu ya kupiga picha. Je, ni mambo yepi yatatokea huko msituni?

Vitabu vingine vya kiwango hiki:

  • Dawa ya Mfalme Simba

  • Kiota cha Chiriku

  • Salim Mashakani

  • Toma na Kape

Additional information

ISBN

9789966638748

Select at least 2 products
to compare