Dawa ya Mfalme Simba

Original price was: KShs336.40.Current price is: KShs302.76. inc. VAT

Dawa ya Mfalme Simba ISBN : 9789966638717

Description

Mfalme Simba anaugua. Mzee Kobe anampima na kugundua ugonjwa wake. Dawa ya ugonjwa huo inaweza kutengenezwa kutokana na mzizi wa mbuyu. Mti huo unapatikana mbali na nchi ya wanyama. Je, ni mnyama yupi atafika huko ili aokoe maisha ya Mfalme Simba?

Vitabu vingine vya kiwango hiki:

  • Funzo la Msituni

  • Kiota cha Chiriku

  • Salim Mashakani

  • Toma na Kape

 

Additional information

ISBN

9789966638717

Select at least 2 products
to compare