Marafiki Wawili na Mti wa Shule

Original price was: KShs240.00.Current price is: KShs216.00. exc. VAT

Visa vya Kisasa ni mfululizo mpya wa vitabu vya hadithi. Mfululizo huu una hadithi za kuvutia. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi Vimeandikwa kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi Vinakuza stadi ya kusoma baada ya kutumia vitabu vya kiada Vinamsaidia mwanafunzi kujifunza msamiati unaopendekezwa katika mtaala wa kiumilisi Vitabu hivi vina shughuli za…

Description

Marafiki Wawili na Mti wa Shule

Wakati wa breki ulifika.Wanafunzi wengine walikwenda uwanjani kucheza.Adili na Mambo hawakwenda kucheza.Walikwenda nyuma ya misala penye mti wa shule.Je, wakiwa hapo wanafanya nini?Watapata shida gani?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.