Description
Mambo amenunuliwa sungura.Anataka Adili akamuone sungura huyo.Baba yake Adili anamnyima ruhusa ya kwenda kumuona.Anasema kuwa ni siku ya kufanya kazi shambani.Adili anakwenda shambani akiwa amenuna.Je,atafanya nini?
+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke
Sungara wa Mambo Author : Moran (E.A) Publishers Ltd ISBN : 978 9966 635 57 0
Mambo amenunuliwa sungura.Anataka Adili akamuone sungura huyo.Baba yake Adili anamnyima ruhusa ya kwenda kumuona.Anasema kuwa ni siku ya kufanya kazi shambani.Adili anakwenda shambani akiwa amenuna.Je,atafanya nini?
ISBN | 978 9966 635 57 0 |
---|
Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Reviews
There are no reviews yet.