Description
Kaleb anaona kiota kwenye mti shambani mwao. Anakwea mti huo ili kutazama kilicho ndani ya kiota. Anaona mayai ya Chiriku ndani ya kiota hicho. Anatoa kiota hicho mtini pamoja na mayai. Ndege wanaanza kulivamia shamba lao Kaleb na kuwasumbua wakiwa nyumbani. Je, ni nini kitakomesha uvamizi na usumbufu huo wa ndege?
Vitabu vingine vya kiwango hiki:
-
Dawa ya Mfalme Simba
-
Funzo la Msituni
-
Salim Mashakani
-
Toma na Kape





