Description
Salim anaalikwa na rafiki yake Pendo katika sherehe ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Wakati wa sherehe, Pendo na marafiki zake wanakwenda nje kucheza. Salim anajitolea kubaki nyuma chumbani ili kulinda keki, vinywaji na zawadi za Pendo. Salim anaanza kuingiwa na tamaa. Ananyoosha mkono na kumega kipande cha keki. Mwisho wa tamaa ya Salim utakuwaje?
Vitabu vingine vya kiwango hiki:
-
Dawa ya Mfalme Simba
-
Funzo la Msituni
-
Kiota cha Chiriku
-
Toma na Kape





