Search results for: “Mwalimu Kipande”
-
Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha – Gredi 3
Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3 ni kitabu cha kiada kilichoandaliwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017. ISBN : 978 9966 63 042 1 Author : Mwalimu Kipande