+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Hekaya za Abunuasi na Hadithi Nyingine

Original price was: KSh545.00.Current price is: KSh491.00. exc. VAT

Hekaya za Abunuasi ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua na za kuchekesha kuhusu mjanja wa kijiji cha Bagdad. Abunuasi ni mtu mwenye akili nyingi, lakini pia ni mdanganyifu na mcheshi. Anatumia akili yake na hila zake kudanganya watu na kujiweka huru kutokana na shida. Hekaya za Abunuasi zimetumiwa kama msukumo kwa kazi nyingi za fasihi,…

Description

Hekaya za Abunuasi na Hadithi Nyingine
Mwandishi: Broomfield
ISBN: 978 9966 344 42 7
Hekaya za Abunuwas na Hadithi Nyingine ni mkusanyo wa hadithi za kusisimua. Hadithi zilizomo zimesimuliwa kwa ucheshi wa hali ya juu. Hadithi hizi, vilevile, zina mafunzo muhimu ambayo yatamwongezea maarifa msomaji. Maadili yametukuzwa huku ujinga na maovu yakitwezwa. Yeyote anayependa kusoma hadithi za Kiswahili atafurahia kuwa na nakala ya kitabu hiki.

Additional information

Weight 0.2 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X