+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Shauku ya Mganga na Hadithi Nyingine

Original price was: KSh525.00.Current price is: KSh473.00. exc. VAT

Shauku ya Mganga na Hadithi Nyingine ISBN: 978 9966349 71 2 Mwandishi: K. Kyuvi na A. Mohamed Kila hadithi katika diwani hii ya Shauku ya Mganga na Hadithi Nyingine, ina upekee wake na itamsisimua, itamburudisha na kumtanabahisha msomaji kuhusu sura mbalimbali za maisha ya mwanadamu.

Category:

Description

Shauku ya Mganga na Hadithi Nyingine
ISBN: 978 9966349 71 2
Mwandishi: K. Kyuvi na A. Mohamed
Shauku ya Mganga na Hadithi Nyingine ni diwani ya hadithi fupi iliyoandaliwa ili kuchangia utangamano wa kiutamaduni miongoni mwa wasomaji wa Afrika Mashariki. Jamii za Afrika Mashariki zimeendelea kutangamana kiuchumi, kijamii na kisiasa. Pana haja katika moyo huo kuwezesha utangamano wa kiutamaduni. Fasihi ni jukwaa muhimu la kuhakikisha kuwapo kwa utangamano huo. Hadithi zilizomo katika diwani hii zinaangazia hali mbalimbali za kimaisha katika tamaduni za wakazi wa mataifa za Afrika Mashariki. Wasomaji wamewasilishiwa nafasi ya kuyaangalia maisha kwa mitazamo mbalimbali ya waandishi wa eneo hili.
Kila hadithi katika diwani hii ina upekee wake na itamsisimua, itamburudisha na kumtanabahisha msomaji kuhusu sura mbalimbali za maisha ya mwanadamu.

Additional information

Weight 0.2 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X