+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Mbaya Wetu (Tamthilia)

Original price was: KShs395.00.Current price is: KShs355.00. exc. VAT

Mbaya Wetu Mwandishi: Ken Walibora ISBN: 978 9966 34 779 4 Mbaya Wetu ni tamthilia ya kijamii inayoangazia kitashtiti suala la malezi. Tamthilia hii inamulikia kurunzi taasisi ya familia, vyombo vya dola na jamii kwa jumla na kufi chua utepetevu katika utekelezaji wa majukumu ya kimsingi.

Category:

Description

Mbaya Wetu
Mwandishi: Ken Walibora
ISBN: 978 9966 34 779 4
Mbaya Wetu ni tamthilia ya kijamii inayoangazia kitashtiti suala la malezi. Tamthilia hii inamulikia kurunzi taasisi ya familia, vyombo vya dola na jamii kwa jumla na kufichua utepetevu katika utekelezaji wa majukumu ya kimsingi. Matokeo ya utepetevu huu na kuthamini wasiothaminika ni kuibuka kwa wanajamii ambao hawawezi kuihakikishia jamii yao mustakabali ufaao.
Tamthilia hii yenye ucheshi na ubunifu wa aina yake inahusu hatima ya Matari na jamii yake. Matari ni kitindamimba aliyedekezwa na wazazi wake na jamii kwa jumla. Kudekezwa huku kuna athari gani kwa mdekezwa na wadekezaji? Je, Matari anajihasiri na kuwahasiri wengine kwa kiasi gani? Nao wanajamii watakubali hasara mpaka lini?

Additional information

Weight 0.1 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X