+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Mchezo wa Kadi

Original price was: KShs240.00.Current price is: KShs216.00. exc. VAT

Visa vya Kisasa ni mfululizo mpya wa vitabu vya hadithi. Mfululizo huu una hadithi za kuvutia. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi Vimeandikwa kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi Vinakuza stadi ya kusoma baada ya kutumia vitabu vya kiada Vinamsaidia mwanafunzi kujifunza msamiati unaopendekezwa katika mtaala wa kiumilisi Vitabu hivi vina shughuli za…

Description

Mchezo wa Kadi

Zani,Adili na Pesi wanacheza mchezo wa kadi.Adili anasoma kadi yake vizuri.Zani anapata shida kusoma kadi yake.Adili na Pesi wanamcheka Zani.Je,Zani anafanya nini?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X