Miujiza ya Majini

Original price was: KShs270.00.Current price is: KShs243.00. exc. VAT

Miujiza Ya Majini Mwandishi : Ali Attas ISBN : 9789966630032    

Description

โ€œUkungu wa ndoto ulifungua pazia.
Adamu akajiona pale ufukoni akiwa bado na kijana wake. Ziwani aliona viuvi viwili vikibuka, vikatamba na kuwangโ€™ongโ€™olea. Baada ya nukta mbili tatu, aliona madege mawili yakirandaranda angani. Majini kuluzuka kivuli cha ngangarika. Kivuli hicho kilikuwa si kigeni. Mara akasikia mayowe yakimka,
โ€˜Mianzi ya pua!โ€™
Adamu alizinduka kutoka usingizini akikariri, โ€˜Mamba mla watu!โ€™ huku jasho jembamba likimchuruzika usoni.โ€ Adamu alikurupuka kitandani, akangazia huku na kule kama kwamba bado alikuwa ndotoni. Dirishani, mwangaza wa alfajiri ulipepua. Mara alihisi mguso ukimshika na kumtikisa.

Vitabu vingine katika mfululizo huu:

  • Ngwa wa Shimoni

  • Pepo za Mizimu

  • Sokwe wa Milima ya Mwezi

 

 

Additional information

Weight 0.1 kg
ISBN

9789966630032

Author

Ali Attas

Select at least 2 products
to compare

โš ๏ธ Important Notice: Annual Stocktake Closure

Please note that we will be closed for our annual stocktake from today, 26th November 2025, to Friday, 28th November 2025.

Any orders placed during this time will be processed starting Monday, 1st December 2025. Thank you for your patience!