+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Paka Mwenye Utepe

Original price was: KShs240.00.Current price is: KShs216.00. exc. VAT

Visa vya Kisasa ni mfululizo mpya wa vitabu vya hadithi. Mfululizo huu una hadithi za kuvutia. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi Vimeandikwa kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi Vinakuza stadi ya kusoma baada ya kutumia vitabu vya kiada Vinamsaidia mwanafunzi kujifunza msamiati unaopendekezwa katika mtaala wa kiumilisi Vitabu hivi vina shughuli za…

Description

Paka Mwenye Utepe

Adili na Zani wanatoka shuleni.Njiani wanamuona paka ambaye amepotea.Adili anataka wamsaidie paka kurudi kwao.Zani naye anataka paka huyo awe wao.Je, mwishowe watafanya nini?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X