Pendo la Karaha

Original price was: KShs515.00.Current price is: KShs464.00. exc. VAT

Pendo la Karaha Mwandishi: Habwe ISBN: 978 9966 34 745 9 Pendo la Karaha ni hadithi ya kusisimua iliyosheheni chuku na majuto.

Category:

Description

Pendo la Karaha
Mwandishi: Habwe
ISBN: 978 9966 34 745 9
Pendo la Karaha ni hadithi ya kusisimua iliyosheheni chuku na majuto. Kupitia Kudra, mwandishi anasimulia changamoto zinazowakumba vijana wanaotoroka kero ya umaskini barani Afrika na kuhamia katika nchi za ughaibuni; wanakokwenda kuzumbua riziki. Uamuzi wa kuchupia maisha hayo yanayodhaniwa matamu, lakini yaliyo na uchachu mkali unawajutisha. Kudra amenaswa na ulimbo huo. Je, atajipapatua?

Additional information

Weight 0.2 kg