+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Sauti Sahihi – Sauti na Mazoezi ya Kiswahili Gredi 1 – Kitabu cha Mwanafunzi

Original price was: KShs525.00.Current price is: KShs473.00. exc. VAT

Sauti na Mazoezi ya Kiswahili Author : Mwalimu Kipande ISBN : 978 9966 631 90 9

Description

Sauti na Mazoezi ya Kiswahili ni vitabu vya ziada vilivyotungwa ili kumpa mwanafunzi shughuli na mazoezi ya kutosha hasa kuhusiana na sauti za Kiswahili. Mazoezi ya sauti yatamwezesha mwanafunzi kutambua herufi za alfabeti na sauti zinazowakilishwa na herufi hizo. Utambuzi huu ni msingi muhimu katika umilisi wa stadi za lugha. Mtaala mpya Uegemeao Umilisi umetambua pengo hilo na umetenga orodha ya sauti zinazopaswa kusgughulikiwa katika kila gredi. Vitabu hivi vimetungwa ili kujaza pengo hilo.

Hata hivyo, lugha ni muhimu ifundishwe katika ukamilifu wake. Kutokana na ukweli huu, vitabu hivi vimejumuisha mazoezi katika mada zote kama zinavyopendekezwa na mtaala mpya uegemeao umilisi.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X