+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Siwa (Tamthilia)

Original price was: KShs395.00.Current price is: KShs356.00. exc. VAT

Siwa ISBN: 978 9966 63 169 5 Mwandishi: Ali Attas Binti Mfalme ametimiza umri wa kuolewa. Njia ya pekee ya kufaulu ni kutegua vitendawili wanvyotegewa. Je, mposaji yupi atapita mitihani hiyo posa yake kuitikiwa?

Category:

Description

Siwa
ISBN: 978 9966 63 169 5
Mwandishi: Ali Attas
Binti Mfalme ametimiza umri wa kuolewa. Waposaji kutoka pande zote za ulimwengu wamejitokeza kuwania mkono wa Binti Mfalme. Njia ya pekee ya kufaulu ni kutegua vitendawili wanvyotegewa. Waposaji wengi wamebwagwa na vitendawili hivyo isipokuwa Mposaji K na Mposaji J. Hawa wawili wanaandaliwa awamu nyingine ya mitihani yenye changamoto tele. Je, mposaji yupi atapita mitihani hiyo posa yake kuitikiwa?
Msomaji haepuki chemshambongo husika. Jinsi ya kutegua vitendawili vilivyomo ndio uhondo hasa wa tamthilia hii.

Additional information

Weight 0.1 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X