+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

STADI ZA KISWAHILI – KITABU CHA MWANAFUNZI GREDI 5

Original price was: KSh510.00.Current price is: KSh459.00. exc. VAT

Author: Alfred Kibandi Gakuru ISBN : 978 9966 63 293 7 Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 5. Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo. Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi…

Description

Author: Alfred Kibandi Gakuru

ISBN : 978 9966 63 293 7

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

  • Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 5.
  • Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo.
  • Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi,shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi.
  • Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 5.
  • Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote.
  • Yaliyomo yamepangwa kulingana na ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 5.
  • Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu.
  • Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 5.
  • Kimejumuisha masuala mtambuko yote.
  • Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.
  • Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za kusikiliza na kuzungumza,kusoma na kuandika.
  • Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi.
  • Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbali yanayosomeka kwa urahisi.

Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha Mwanafunzi wa Gredi ya 5 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

Additional information

Weight 0.4 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X