STADI ZA KISWAHILI – KITABU CHA MWANAFUNZI GREDI 6

Original price was: KShs620.00.Current price is: KShs558.00. exc. VAT

Author: Alfred Kibandi Gakuru ISBN : 978 9966 633 446   Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: ? Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 6. ? Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo. ? Kimejumuisha…

Description

Author: Alfred Kibandi Gakuru

ISBN : 978 9966 633 446

 

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:
? Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 6.
? Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo.
? Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi.
? Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 6.
? Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote.
? Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 6.
? Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu.
? Kimeshughulikia matokea maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 6.
? Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi.
? Kimeshughulikia masuala mtambuko yote.
? Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi.
? Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika
? Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi.
? Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbali yanasomeka kwa urahisi. Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 6 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

Additional information

Weight 0.4 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.