Stadi za Kiswahili – Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwalimu – Gredi 1

Original price was: KShs415.00.Current price is: KShs374.00. exc. VAT

Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwalimu – Gredi 1 Author : Mwalimu Kipande ISBN : 978 9966 63 053 7

Description

Stadi za Kiswahili ni msururu wa vitabu vya kiada vilivyoandaliwa kwa mujibu wa Mtaala Mpya uegemeao Umilisi. Vitabu hivi vimejumuisha maudhui yote, mada kuu zote na ndogo, shughuli anuwai za ufundishaji na ujifunzaji na maswali dadisi yaliyomo katika ruwaza za mtaala mpya.

Vitabu hivi vimejumuisha shughuli za aina nyingi za ujifunzaji. Hizi ni za kufanywa na mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawiliwawili? na vikundi vya wanafunzi.

Vitabu hivi vitawezesha wanafunzi kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.

Additional information

Weight 0.50 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.