+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

STADI ZA KISWAHILI – KITABU CHA MWALIMU GREDI 6

Original price was: KShs515.00.Current price is: KShs464.00. exc. VAT

Author: Alfred Kibandi Gakuru Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki, Stadi za Kiswahili cha Mwalimu: Gredi ya 6, kinadhamiriwa kumuwezesha mwalimu kufanikisha mafunzo yaliyomo katika Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi: Gredi ya 6. Mwalimu anelekezwa jinsi ya: kubaini umilisi unaokuzwa katika…

Category:

Description

Author: Alfred Kibandi Gakuru

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki, Stadi za Kiswahili cha Mwalimu: Gredi ya 6, kinadhamiriwa kumuwezesha mwalimu kufanikisha mafunzo yaliyomo katika Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi: Gredi ya 6. Mwalimu anelekezwa jinsi ya:

  • kubaini umilisi unaokuzwa katika mada mbalimbali.
  • kubaini uhusiano wa mada mbalimbali na masuala mtambuko.
  • kubaini uhusiano wa mada mbalimbali na masomo mengine.
  • kutambua maadili yanayokuzwa katika mada mbalimbali.
  • kutambua shughuli za kijamii zinzochangia ujifunzaji katika mada mbalimbali.
  • kubuni mbinu na vigezo vya kutathminia umilisi walioupata wanafunzi baada ya matokeo maalum yanayotarajiwa katika mada mbalimbali.
  • kubaini mbinu mwafaka za ujifunzaji.
  • kutambua mahitaji maalum ya kielimu na jinsi ya kuwashughulikia wanafunzi wenye mahitaji hayo.
  • kutayarisha nyenzo za ufundishaji na ujifunzaji.
  • kujiandaa ifaavyo ili kufanikisha vipindi vya somo la kiswahili.

Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwalimu kusimamia ifaavyo vipindi vya somo la Kiswahili kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi.

Additional information

Weight 0.4 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X