+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

STADI ZA KISWAHILI – SHUGHULI ZA LUGHA – KITABU CHA MWALIMU GREDI 5

Original price was: KShs415.00.Current price is: KShs374.00. exc. VAT

Author: Alfred Kibandi Gakuru ISBN : 978 9966 63 294 4 Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki, stadi za Kiswahili,Kitabu cha Mwalimu,Gredi ya 5,kinadhamiriwa kumuwezesha mwalimu kufanikisha mafunzo yaliyomo katika Stadi za Kiswahili,Kitabu cha Mwanafunzi,Gredi ya 5.Mwalimu anaelekezwa jinsi ya: kubaini Umilisi…

Category:

Description

Author: Alfred Kibandi Gakuru

ISBN : 978 9966 63 294 4

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki, stadi za Kiswahili,Kitabu cha Mwalimu,Gredi ya 5,kinadhamiriwa kumuwezesha mwalimu kufanikisha mafunzo yaliyomo katika Stadi za Kiswahili,Kitabu cha Mwanafunzi,Gredi ya 5.Mwalimu anaelekezwa jinsi ya:

  • kubaini Umilisi unaokuzwa katika mada mbalimbali
  • kubaini uhusiano wa mada mbalimbali na masuala mtambuko
  • kubaini uhusiano wa mada mbalimbali na masomo mengine
  • kutambua maadili yanayokuzwa katika mada mbalimbali
  • kutambua shughuli za kijamii zinazochangia umili walioupata wanafunzi baada ya matokeo maalum yanayotarajiwa katika mada mbalimbali
  • kubaini mbinu mwafaka za ujifunzaji
  • kutambu mahitaji maalum ya kielimu na jinsi ya kuwashughulia wanafunzi wenye mahitaji hayo
  • kutayarisha nyenzo za ufundishaji na ujifunzaji
  • kujiandaa ifaavyo ili kufanikisha vipindi vya somo la Kiswahili

Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwalimu kusimamia ifaavyo vipindi vya somo la Kiswahili kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi.

Additional information

Weight 0.4 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X