Description
Supu ya Wageni
Adili na Zani wana furaha.Watu wa familia wanakuja kuwatembelea.Wazazi wao wanapikia wageni supu.Wanaiacha supu jikoni ili ipoe.Wanarudi jikoni baadaye.Wanapata kuwa supu ya wageni imenywewa.Adili na Zani wanataka kujua ni nani ameinywa supu.Je, watajua?
Reviews
There are no reviews yet.