Description
Tujifunze Mashairi
ISBN: 978 9966 34 872 2
Mwandishi: Hijazi & Mzenga
Tujifunze Mashairi ni diwani ya
mashairi inayoridhisha ufundi
wa kiwango cha juu cha utunzi.
Washairi wameshughulikia maudhui
kama vile maadili. Uzalendo, lugha
ya Kiswahili, didni, bahari, faida za
mnazi na mengineyo mengi.





