Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Search in posts
Search in pages
Filter by Categories
NEWS

Kamusi Changanuzi ya Methali

Kamusi Changanuzi ya Methali

KSh845.00

Category : Kiswahili
Author : Waihiga & Kahiga
ISBN : 978 9966 342 63 x
Compare
In stock N/A , .

Kamusi Changanuzi ya Methali ni kitabu chenye mkusanyiko mkubwa zaidi wa methali kikilinganishwa na kamusi nyingine mbalimbali zilizowahi kutayarishwa kufikia sasa. Lakini la muhimu zaidi, licha ya wingi wa methali, kitabu hiki kinayo haiba, mnato na muundo wa kipekee unaokifanya kuvutia jicho la kila msomaji. Isitoshe, methali zilizomo zimechanganuliwa kwa lugha rajisi inayoeleweka na wapenzi wa ligha hii wa viwango vyote. Kwa jumla kinazo sifa zifuatazo:

  • Mkusanyiko wa ziada ya methali elfu mbili na mia nne.
  • Methali halisi zisizo za kubambanya zilizopangiliwa kwa utaratibu wa kialfabeti wa kuanzia A hadi Z.
  • Maelezo kamili ya msamiati mgumu uliomo.
  • Maelezo kamili ya maana ya kila methali – ya juu/kawaida na batini/ya ndani.
  • Methali zisizo na maana ya ndani zimeelezwa kikamilifu ili msomaji aweze kuzitumia moja kwa moja bila kukanganyika.
  • Maelekezo kamili ya matumizi ya kila methali.
  • Methali zenye maana sawa au kinyume na nyingine zimedhihirishwa na kuelekezwa kurasa zipatikanamo.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kamusi Changanuzi ya Methali”

Your email address will not be published. Required fields are marked *