Kosa la Adili

Original price was: KShs240.00.Current price is: KShs216.00. exc. VAT

Visa vya Kisasa ni mfululizo mpya wa vitabu vya hadithi. Mfululizo huu una hadithi za kuvutia. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi Vimeandikwa kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi Vinakuza stadi ya kusoma baada ya kutumia vitabu vya kiada Vinamsaidia mwanafunzi kujifunza msamiati unaopendekezwa katika mtaala wa kiumilisi Vitabu hivi vina shughuli za…

Description

Kosa la Adili

Adili anatumwa na mama yake akaombe uteo kwa majirani.Anapewa uteo na jirani wa nane.Anarudi nyumbani akiwa na maumivu tumboni.Je, Adili amelifanya kosa gani?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.