Hadaa za Bahati

Original price was: KShs250.00.Current price is: KShs225.00. exc. VAT

Hadaa za Bahati AUTHOR : Faith Simyu ISBN : 9789966637512

Description

Wanafunzi wa Gredi ya Saba wanasajiliwa katika Shule ya Upili ya Faulu. Miongoni mwao ni Bahati, Waridi na Tausi. Bahati ni mvulana mnyamavu. Waridi ni msichana mrembo naye Tausi, kama jina lake ni msichana mwenye madaha.

Kadiri wanafunzi wanavyozongamana ndivyo wanazidi kufahamiana. Bahati anagundua udhaifu wa hulka za Waridi na Tausi. Anaamua kujifunza kutokana na udhaifu wao. Anamfunjia kila mmoja wao hila za kumwangamiza kuwa ni yeye tu. Je, Bahati atafaulu kudumisha ujanja wake?

Additional information

ISBN

9789966637512

Author

Faith Simiyu

Select at least 2 products
to compare