Safari ya Siku na Mashairi Mengine

Original price was: KShs250.00.Current price is: KShs225.00. exc. VAT

Safari ya Siku na Mashairi Mengine Author : Yusuf Wambugu ISBN : 978 9966 635709

Category:

Description

Safari ya Siku na Mashairi Mengine ni diwani ambayo imeandikwa kwa lengo la kutanguliza utanzu wa ushairi kwa mwanafunzi wa Gredi ya Tisa.Diwani hii:

  • ina utangulizi unaofananua dhana muhimu za ushairi,inashughulikia dhana za kishairi zilizomo katika Mtaala wa Kiumilisi.
  • inajumuisha mashairi ya arudhi na mashairi huru,
  • ina mashairi ambayo yameandikwa kwa lugha ya kiwango cha Gredi ya Tisa.
  • inashughulikia masuala mtambuko mbalimbali na kukuza maadili muhimu.

 

Additional information

ISBN

978 9966 633 15 6

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.