Description
Toma anapuuza kuzingatia usafi katika chumba chake. Panya anayeitwa Kape anaanza kuingia katika chumba hicho. Anaharibu kitabu ambacho Toma anakipenda zaidi. Toma anaanza kutafuta njia za kumnasa Kape. Je, atafanikiwa? Je, Kape ataacha kuingia katika chumba cha Toma?
Vitabu vingine vya kiwango hiki:
-
Dawa ya Mfalme Simba
-
Funzo la Msituni
-
Kiota cha Chiriku
-
Salim Mashakani





