+254 723 971 057 | info@moranpublishers.co.ke

Mualkemia

Original price was: KSh515.00.Current price is: KSh464.00. exc. VAT

Riwaya ya Mualkemia imechapishwa na Kampuni ya Uchapishaji ya Moran (E.A.), jijini Nairobi, Kenya katika mwaka wa 2022. Riwaya hii imetafsiriwa na Ali Attas. Mtafsiri huyu anaelezea kwa lugha ya Kiswahili falsafa ya mwandishi asilia, Paulo Coelho, kuhusu Kudura ya mtu ya Kibinafsi. ?Lengo kuu la kitabu hiki ni kumbainishia msomaji kwamba anaweza kuzitimiza ndoto…

Category:

Description

Vitabu vingine vya Ali Attas ambavyo vimechapishwa na kampuni ya Moran (E.A.) Publishers Ltd ni: Siwa, Sokwe wa Milima ya Mwezi, Miujiza ya Majini, Nguva wa Shimoni,Pepo wa Mizimu?na Kamusi Mwafaka

Additional information

Weight 0.2 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

X